Yanga yafikia rekodi ya mabao ya msimu uliopita

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 May 2025
Yanga yafikia rekodi ya mabao ya msimu uliopita

Ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Namungo Fc jana uliwahakikishia wananchi kuendelea kujiimarisha kileleni mwa msimamo wa ligi wakati zikisalia mechi mbili tu msimu kumalizika

Aidha ushindi huo umekuja na rekodi kwani Yanga ilifikisha mabao 71 idadi sawa na mabao waliyofunga msimu uliopita katika mechi 30

Maana yake ni kuwa Yanga inaelekea kuvunja rekodi hiyo katika mechi zilizosalia

Msimu uliopita Yanga ilitwaa ubingwa wa ligi kuu ikiwa na alama 80, ikifunga mabao 71 huku ikiruhusu mabao 14

Mpaka sasa Yanga ina alama 73 kileleni, ikifunga mabao 71 na kuruhusu mabao 10 tu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
9h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
12h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
17h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
21h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’