Safari Lager Cup 2025 yazinduliwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 May 2025
Safari Lager Cup 2025 yazinduliwa

Klabu ya Yanga kwa kushirikiana na Safari Lager, leo wamezindua msimu wa pili wa Safari Lager Cup michuano maalum ya kusaka vipaji Tanzania

Mtendaji Mkuu wa Yanga Andre Mtine sambamba na viongozi wengine waandamizi wa Yanga, walishiriki uzinduzi huo uliofanyika, Super Dome Masaki jijini Dar es salaam

Akizungumza katika hafla hiyo, Mtine alisema Yanga inajivunia kuwa sehemu ya chachu ya kuibua vipaji na kukuza soka la Tanzania

"Yanga tupo hapa leo tukijivunia ushirika wetu na Safari Lager Brand, hii ni mara ya pili tumekuwa wamoja, jambo hili limesaidia sana kwenye ukuaji wa soka la Tanzania kwa kuibua vipaji mbalimbali hapa nchini. Tunawashukuru sana Safari Lager kwa kutambua mchango wetu"

"Tunawahakikishia Safari Lager kuwa tutafanya kazi bega kwa bega, tutahakikishia kuwa mashindano hayo yanakuwa kwa kiasi kikubwa na kunufaisha walio wengi, nawakaribisha wadau mbalimbali pamoja na mashabiki kujitokeza kwa wingi siku ya tatehe 26/07/2025 kwenye mchezo wa fainali," alisema Mtine

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
16h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
20h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’