Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kiungo kiraka wa Yanga, Mudathir Yahya Abbas
Uzikungumzia wachezaji ambao wamevuja jasho jingi kuhakikisha Yanga inatimiza malengo yake katika misimu hii mitatu, Mudathir ni mmoja wao
Usajili wake wakati anatua Yanga ulikumbana na ukosoaji mkubwa lakini sasa Mudathir ni mchezaji ambaye hakuna timu hapa Tanzania haitapenda kuwa nae
Nyota huyo anatarajiwa kusaini mkataba mpya ambao utamuweka Jangwani kwa muda mrefu zaidi
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake
Happy Birthday Mudathir....
ADVERTISE HERE