Majibu ya uchunguzi kuahirishwa kwa dabi yako wapi?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 May 2025
Majibu ya uchunguzi kuahirishwa kwa dabi yako wapi?

Mapema leo Bodi ya ligi iliupangia terehe mchezo namba 184 kati ya Yanga dhidi ya Simba ambao ulipaswa kupigwa March 08 uwanja wa Benjamin Mkapa

Katika taarifa ya awali iliyotolewa na Bodi wakati wakitangaza kuahirisha mchezo huo, walieleza kuwepo kwa uchunguzi wa masuala mbalimbali. Miongoni ni masuala ya tishio la kiusalama pia tuhuma za rushwa

Wakati Yanga ilipoandika barua TPLB kuomba hatua kuchukuliwa kwa mujibu wa kanuni walijibiwa kuwa haiwezekani kwa sababu kuna masuala ambayo uchunguzi wake haujakamilika

Kitendo cha kupangia tarehe mchezo huo pasipo kuweka hadharani majibu ya uchunguzi huo kunaibua maswali zaidi

  • Imekuwaje ratiba ya mechi imepangwa pasipo majibu ya uchunguzi huo kutolewa? Wadau wataaminije kama sababu zilizotolewa awali zina ukweli?
  • Nani alisababisha mechi ya kwanza isichezwe?
  • Bodi imechukua hatua gani kwa upande uliopelekea mechi hiyo kutochezwa March 08?
  • Nini hatma ya mashabiki ambao walilipa viingilio kushuhudia mchezo huo?

Ni wazi jambo hili bado lina ukakasi mkubwa hasa inapoonekana wenye mamlaka wanataka mechi ichezwe tu pasipo uwajibikaji

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
8h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
11h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
16h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
20h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’