Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kiungo mshambuliaji wa Yanga Pacome Zouzoua
Msimu huu umekuwa bora sana kwa Pacome ambapo ametimiza vyema majukumu yake katika kufunga na kutoa pasi za mabao
Mabao 9 na asisti nane akihusika katika mabao 17, bila shaka ni msimu wake bora zaidi tangu alipotua Yanga akitokea Asec Mimosas
Majeraha aliyopata katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam Fc ndio yaliyofanya asionekane uwanjani kwa takribani wiki tatu lakini habari njema ni kuwa profesa huyo wa mpira amepona na yuko tayari kurejea kikosini
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake..
HAPPY BIRTHDAY PACOME..
ADVERTISE HERE