Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa Mkurugenzi wa Wanachama na Masoko wa Yanga, Ibrahim Samwel
Idadi kubwa ya Wanachama na Mashabiki wanaosajiliwa katika klabu, nyuma ya hamasa yuko Samwel akishirikiana vyema na kitengo cha Habari na Mawasiliano kinachoongozwa na Ali Kamwe
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake..

HAPPY BIRTHDAY SAMWEL...!
ADVERTISE HERE