Uongozi wa Yanga kwa kushirikiana na GSM Foundaon leo wametembelea na kutoa misaada mbalimbali katika taasisi ya Mahoce ambayo inalea na kusomesha yatima na watoto watokao kwenye mazingira magumu na hatarishi iliyopo mtaa wa Negamsi, Babati mjini





ADVERTISE HERE