Kikosi cha Yanga kimewasili Babati, mkoani Manyara kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Fountain Gate utakaopigwa Jumatatu, April 21
Mamia ya mashabiki wa Yanga wamejitokeza kwa wingi katika mapokezi hayo ya mabingwa wa nchi






ADVERTISE HERE