Nusu fainali CRDB Cup kupigwa Mkwakwani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Apr 2025
Nusu fainali CRDB Cup kupigwa Mkwakwani

Mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya kombe la CRDB kati ya Yanga dhidi ya JKT Tanzania unatarajiwa kupigwa Mei 16-18 katika uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga

Aidha nusu fainali ya pili ambayo itazikutanisha Simba dhidi ya Singida Black Stars itapigwa katika uwanja wa Tanzanite Kwaraa, mkoani Manyara

Yanga ni mabingwa watetezi wa taji hilo walilotwaa kwa misimu mitatu mfululizo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’