Fountain Gate vs Yanga ni April 21

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Apr 2025
Fountain Gate vs Yanga ni April 21

Mchezo wa ligi kuu ya NBC kati ya Fountain Gate dhidi ya Yanga ambao awali ulipangwa kupigwa Jumapili April 20, umesogezwa mbele kwa siku moja na sasa utapigwa Jumatatu April 21 katika uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Manyara

Baada ya kujihakikishia tiketi ya kucheza nusu fainali ya kombe la CRDB, Yanga itakwenda Manyara ikiwa na lengo la kuzisaka alama nyingine tatu ambazo zitawasogeza karibu na ubingwa wa ligi kuu kwa mara ya 31

Wananchi wakikamilisha mchezo huo, watasalia na mechi tatu tu, mbili jijini Dar es salaam na moja ugenini mkoani Mbeya

Mechi zilizobaki ni dhidi ya Fountan Gate (Manyara), Namungo Fc (Dar), Prisons (Mbeya) na Dodoma Jiji (Dar)

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’