FT : Yanga 8-1 Stand United

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Apr 2025
FT : Yanga 8-1 Stand United

Yanga imetinga nusu fainali ya kombe la Shirikisho la CRDB kibabe kwa ushindi wa mabao 8-1 dhidi Stand United

Unaweza kusema Yanga leo ilikuwa na mazoezi ya kutengeneza nafasi na kufunga pengine Wananchi wangeweza kufunga mabao zaidi

Baada ya majeraha ya hapa na pale, Stephane Aziz Ki leo amerejea kikosini kikamilifu akifanikiwa kufunga mabao manne huku Clatous Chama akiendeleza ubora wake akiweka kambani mabao mawil

Nickson Kibabage na Kennedy Musonda nao waliingia kambani katika mchezo huo ambao waliweka rekodi ya kufunga mabao mengi katika michuano hiyo msimu huu

Yanga sasa itachuana na JKT Tanzania katika mchezo wa nusu fainali

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
15h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’