Yanga kuifuata JKT Tanzania nusu fainali CRDB Cup?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Apr 2025
Yanga kuifuata JKT Tanzania nusu fainali CRDB Cup?

JKT Tanzania leo imetangulia nusu fainali ya kombe la Shirikisho la CRDB ikiichapa Pamba Jiji mabao 3-1 katika mchezo wa robo fainali uliopigwa uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo

Wakati JKT Tanzania ikitangulia, Wananchi Yanga wao watashuka dimbani kesho Jumanne kumenyana na Stand United katika mchezo utakaopigwa uwanja wa KMC Complex

Kama Yanga itashinda mchezo huo, basi itatinga nusu fainali ambapo itachuana na JKT Tanzania katika mchezo ambao utapigwa dimba la KMC Complex

Yanga na JKT Tanzania tayari zimekutana mara mbili kwenye ligi kuu Yanga ikishinda mechi ya duru ya kwanza kwa mabao 2-0 na mchezo wa duru ya pili kumalizika kwa matokeo ya suluhu ya bila kufungana

Aidha Singida Black Stars imetinga nusu fainali kwa ushinda wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar

Walima alizeti hao watachuana na Simba katika mchezo wa nusu fainali

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’