Ni Jumatatu ya 'Mashati Day'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Apr 2025
Ni Jumatatu ya 'Mashati Day'

Jumatatu, April 07 Yanga itashuka uwanja wa KMC Complex kuikabili Coastal Union katika mwendelezo wa ligi kuu ya NBC

Katika kuonyesha kumuunga mkono Mwenyekiti wa Wasemaji ambaye mapema wiki hii alipata changamoto kule Tabora, siku hii imepachikwa jina la 'Mashati Day'

Ni siku maalum kwa mashabiki wa Yanga kwenda kushuhudia mchezo huo huku wakipendeza kwenye vazi la shati

Mwananchi hakikisha umependeza katika lile shati lako la sikukuu...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’