FT : Tabora United 0-3 Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Apr 2025
FT : Tabora United 0-3 Yanga

Yanga imezima kelele za Tabora United ikiibuka na ushindi wa mabao 3-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Ali Hassan Mwinyi

Yanga ilianza mchezo huo kwa kasi ikionyesha dhamira ya kubeba alama zote tatu na alikuwa ni Israel Mwenda aliyewatanguliza Wananchi kwa bao safi dakika ya 21 kupitia mpira wa adhabu

Yanga ikaenda mapumziko ikiwa mbele kwa bao hilo moja. Kipindi cha pili Yanga ilirejea na kasi, Clement Mzize akaongeza bao la pili kupitia shambulizi la kushitukiza kabla ya Dube kuongeza la tatu baada ya pasi murua kutoka kwa Pacome Zouzoua

Pengine Yanga ilistahili kuondoka na ushindi mnono zaidi mshika kibendera akikataa bao jingine kutoka kwa Mzize

Ni ushindi unaorejesha heshima ya Yanga mbele ya Tabora United. Pia unaifanya Yanga iendelee kujikita kileleni mwa msimamo ikikusanya alama 61

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’