Wanne kuikosa Tabora United

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Apr 2025
Wanne kuikosa Tabora United

Kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tabora United ambao utapigwa leo Jumatano katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Kocha Mkuu wa Yanga Miloud Hamdi amethibitisha nyota wanne watakosekana kutokana na sababu mbalimbali

Khalid Aucho, Stephane Aziz Ki wanakosekana wakisumbuliwa na changamoto za majeraha huku Kennedy Musonda na Clatous Chama ambao walikuwa Urusi katika majukumu ya timu ya Taifa ya Zambia wakichelewa kurejea

Nyota hao wanaungana na Yao Kouassi ambaye anaendelea kuimarika baada ya kupona majeraha yaliyotokana na upasuaji wa goti aliofanyiwa wiki kadhaa zilizopita

Yanga imekamilisha maandalizi yake jioni ya leo katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kuelekea mchezo huo utakaopigwa Jumatano, saa 10 jioni

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’