Kikos cha Yanga kimewasili mjini Tabora tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tabora United ambao utapigwa kesho Jumatano, April 02 katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi







Mashabiki wa Yanga wamejitokeza kwa wingi katika mapokezi ya kikosi chao ambacho kesho majira ya saa 10 jioni kitakuwa dimbani pale Ali Hassan Mwinyi kuwania alama tatu muhimu dhidi ya Tabora United
ADVERTISE HERE