Mamia ya Wananchi leo wamejitokeza uwanja wa Chipukizi, Tabora kupata chakula cha sikukuu ya Eid kilichoandaliwa na klabu ya Yanga
Ilikuwa siku ya furaha kwa Wananchi wa Tabora na maeneo ya jirani ikiwa ni sehemu ya shamrashamra kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tabora United utakaopigwa Jumatano, April 2 katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi









ADVERTISE HERE