Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limeiruhusu rasmi klabu ya Yanga kutumia jezi nenye nembo ya mdhamini wake, kampuni ya Sportpesa.
Kabla ya kuanza kwa hatua ya makundi ya michuano ya kombe la Shirikisho, vilabu vyote zilivyofuzu vilitakiwa kuwasilisha wadhamini ili kuweza kutambuliwa.
Uongozi wa Yanga jana ulitoa ufafanuzi juu ya sababu iliyopelekea mkanganyiko uliochelewesha kutambuliwa kwa SPortpesa.
Yanga sasa itavaa jezi zenye nembo ya Sportpesa kwenye michezo yake mitano iliyobaki.

ADVERTISE HERE