Chamangwana aagwa kishujaa Malawi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 May 2018
Chamangwana aagwa kishujaa Malawi
Rais wa Malawi Peter Mutharika leo amewaongoza mamia ya wananchi waliojitokeza kwenye uwanja wa Kamuzu kuuaga mwili wa mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Malawi, Jack chamangwana aliyefariki juzi kwa ugonjwa wa shinikizo la damu.

Chamangwana amewahi kuinoa klabu ya Yanga na kuiwezesha kutwaa ubingwa wa Tanzania Bara kwa misimu miwili mfululizo mwaka 2005 na 2006.



Mazishi yake yamefanywa ya kitaifa kutokana na mchango wake mkubwa aliotoa kwa timu ya Taifa ya Malawi wakati huo akicheza mpira.

Chamangwana anatajwa kuwa miongoni mwa wachezaji bora waliowahi kuichezea Malawi na anashikilia nafasi ya pili kwa kucheza mechi nyingi kwenye timu ya Taifa ya Malawi
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
11h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’