Waamuzi mchezo wa Yanga vs Rayon Sports

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 May 2018
Waamuzi mchezo wa Yanga vs Rayon Sports
Kuelekea mchezo wa makundi kombe la shirikisho Afrika kati ya Yanga (Tanzania) dhidi ya Rayon Spots (Rwanda), Shirikisho la soka nchini (TFF) limetaja waamuzi watakaosimamia mchezo huo utakaochezwa uwanja wa taifa Mei 16, 2018 ukitarajiwa kuanza saa moja kamili jioni.

Waamuzi ni Helder Martins Rodrigues De Carvalho (Referee) Ivanildo Meireles De O Sanche Lopes (Assistant Referee 1), Wilson Valdmiro Ntyamba (Assistant Referee 2), Joao Amado Muanda Goma (Fourth Official) wote kutoka Angola.

Maafisa wengine ni Abebe Solomon Gibresilassie (Commissioner) (Ethiopia), Yoland Mavouroulou (General Coordinator) (Gabon) na Clifford Mario Ndimbo ( Media Officer) Tanzania.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
9h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
13h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
14h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
14h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
18h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’