Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeufungulia uwanja wa Ali Hassan Mwinyi baada ya kufanyiwa maboresho
Uwanja huo unaotumiwa na Tabora United ulifungiwa baada ya kukosa sifa na vigezo
Ni rasmi sasa mchezo wa ligi kuu kati ya Tabora United dhidi ya Yanga utachezwa katika uwanja huo April 1
ADVERTISE HERE