Walinzi wa kati Ibrahim Bacca na Dickson Job ni miongoni mwa wachezaji waioitwa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kwa ajili ya mechi ya kuwania kufuzu michuano ya kombe la Dunia 2026
Mudathir Yahya na Clement Mzize pia wamejumuishwa katika kikosi hicho ambacho March 25 kitakuwa ugenini kumenyana na Morocco
Viungo Khalid Aucho na Duke Abuya nao wameitwa katika mataifa ya Uganda na Kenya huku Prince Dube akiitwa timu ya Taifa ya Zimbabwe
Mlinda lango Djigui Diarra anakwenda kwenye majukumu ya Taifa la Mali huku Kennedy Musonda na Clatous Chama wakielekea Zambia
Kikosi kamili cha Stars
ADVERTISE HERE