Dube, Hamdi wabeba tuzo za ligi kuu Februari 2025

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Mar 2025
Dube, Hamdi wabeba tuzo za ligi kuu Februari 2025

Mshambuliaji wa Yanga Prince Dube ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa ligi kuu kwa mwezi Februari 2025 akiwashinda Stephane Aziz Ki wa Yanga na Seleman Bwenzi wa KenGold

Dube ameshinda tuzo hiyo baada ya kufunga mabao matano na kutoa assist 5 na hivyo kuwa amehusika katika mabao 10 ndani ya dakika 562 alizocheza

Aidha tuzo ya kocha bora wa mwezi pia imekwenda kwa kocha mkuu wa Yanga Miloud Hamdi akiwashinda Fadlu Davids wa Simba na Freddy Minziro wa Pamba Jiji

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’