ACA, CAF zaingia makubaliano ya ushirikiano

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Mar 2025
ACA, CAF zaingia makubaliano ya ushirikiano

Umoja wa vilabu barani Afrika (ACA) chini ya Mwenyekiti wake Injinia Hersi Said, leo umesaini mkataba wa ushirikiano na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF)

Hafla hiyo imefanyika kwenye mji wa Cairo, Misri na kuhudhuriwa na Viongozi wa juu wa Taasisi hizo mbili, Injinia Hersi na Rais wa CAF, Dk. Patrice Motsepe

Ni tukio jingine kubwa linafanikishwa chini ya uongozi wa Hersi na kuzinufaisha klabu zote barani Afrika

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’