Alfajiri ya kuamkia leo Jumapili, March 09, klabu ya Pamba Jiji ilipta ajali eneo la Bahi Mkoani Dodoma timu hiyo ikitokea Kagera kuelekea Morogoro kushiriki mchezo wa kombe la CRDB dhidi ya Kiluvya United uliopangwa kuchezwa Jumanne, March 11
Tunawapa pole ndugu zetu Pamba Jiji kwa ajali hiyo, tunawaombea majeruhi wapone haraka ili waweze kurejea katika majukumu yao


ADVERTISE HERE