Dube ashinda tuzo ya mchezaji bora wa Yanga Februari

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Mar 2025
Dube ashinda tuzo ya mchezaji bora wa Yanga Februari

Prince Dube 'Mwana wa mfalme' ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Yanga kwa mwezi February 2025 (NIC player of the Month)

Dube ameshinda tuzo hiyo baada ya kuwashinda Stephane Aziz Ki na Maxi Nzengeli

Hiyo ni tuzo ya kwanza ya mwezi kwa Dube msimu huu akiwa mchezaji aliyehusika kwenye mabao mengi zaidi ya ligi kuu ya NBC

Pamoja na tuzo kutoka kwa Wadhamini (NIC), Dube ataondoka na kitita cha Tsh Milioni 4

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
14h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
18h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’