Kupitia ukurasa rasmi wa Bodi ya ligi katika mtandao wa kijamii, Bodi ya ligi (TPLB) wameweka bango linalodhihirisha mchezo wa ligi kuu kati ya Yanga dhidi ya Simba utapigwa saa 1:15 usiku katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Taratibu zote kuelekea mchezo huo zimekamilika, kama kuna timu haitatokea uwanja basi wanajua kitakachowakuta...!
ADVERTISE HERE