Aziz Ki, Maxi wawania rekodi Kariakoo Derby

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Mar 2025
Aziz Ki, Maxi wawania rekodi Kariakoo Derby

Jumamosi pale uwanja wa Benjamin Mkapa majira ya saa 1:15 usiku mechi ya ligi kuu inayokutanisha timu pinzani asili, Yanga na Simba itapigwa

Itakuwa mechi muhimu ambayo ushindi kwa Yanga unaweza kuwaweka Wananchi katika nafasi nzuri ya kutetea taji la ligi kuu kwa msimu wa nne mfululizo

Yanga inakwenda katika mchezo huo ikiwa na rekodi ya kibabe dhidi ya watani zao Simba ikishinda mechi zote nne zilizopita

Katika kikosi cha Yanga kutakuwa na vinara wawili wa kuzifumania nyavu mechi zinazokutanisha timu hizo, Stephane Aziz Ki na Maxi Nzengeli

Aziz Ki na Maxi wamepachika mabao matatu kila mmoja na yeyote atakayefunga katika mchezo huo atafikisha mabao manne au zaidi

Aidha uwepo wa Aziz Ki katika kikosi cha Yanga ni habari mbaya zaidi kwa Simba kwani ana rekodi ya kipekee katika mechi alizocheza dhidi ya Simba tangu akiwa na Asec Mimosa ya Ivory Coast

Aziz Ki amepachika jumla ya mabao matano katika mechi 10 alizocheza dhidi ya Simba huku akitoa assist 2 na hivyo kumfanya ahusike katika mabao 7

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’