Maandalizi ya Kariakoo Derby kuanza leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Mar 2025
Maandalizi ya Kariakoo Derby kuanza leo

Baada ya mapumziko ya mwishoni mwa wiki, kikosi cha Yanga leo kinatarajiwa kuingia kambini kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba utakaopigwa Jumamosi March 08 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Ni Kariakoo Derby ya tatu msimu huu timu hizo zikikutana kwenye Ngao ya Jamii na mechi ya duru ya kwanza NBC PL 

Mechi zote Yanga iliibuka kidedea kwa ushindi wa bao 1-0 na kuandikish ushindi mara nne mfululizo dhidi ya watani zao hao

Mchezo wa Jumamosi una umuhimu wa kipekee kwa Yanga kwani alama tatu zitawaweka katika nafasi nzuri zaidi ya kutetea ubingwa kwa msimu wa nne mfululizo

Hivyo ni mechi ambayo imepewa uzito mkubwa na pengine ndio sababu Wananchi wanaingia kambini mapema

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
9h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
13h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
14h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
14h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’