Matchday : Pamba Jiji vs Yanga, NBC PL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Feb 2025
Matchday : Pamba Jiji vs Yanga, NBC PL

Mikiki mikiki ya ligi kuu ya NBC inaendelea leo ambao mabingwa watetezi Yanga watakuwa uwanja wa CCM Kirumba kuikabili Pamba Jiji

Katika mkakati wa kutetea taji la ligi kuu kwa msimu wa nne mfululizo, Yanga inawania alama tatu muhimu ambazo zitazidi kuwaweka katika nafasi nzuri ya kufikia malengo yao

Hata hivyo haitakuwa rahisi mbele Pamba Jiji iliyoimarika zaidi tangu kuanza kwa duru la pili

Pamba Jiji bado haiko salama ikipambana kuhakikishia inaendelea kusalia katika ligi kuu ya NBC msimu ujao

Timu hiyo imeahidiwa mamilioni ya shilingi kama itashinda mchezo huo, jana ikitanguliziwa Tsh Milioni 10 kama fedha ya maandalizi

Ni wazi itakuwa mechi ngumu lakini kocha mkuu wa Yanga Miloud Hamdi amewahakikishia Wananchi kuwa watapambana kwa jasho na damu ili kushinda mchezo huo

Kama Yanga itaibuka na ushindi leo itaongeza gap la pointi dhidi ya watani zao Simba kufikia alama 7

Yanga na Simba zitachuana katika mchezo utakaofuata March 08 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’