Yanga ilivyotikisa Sengerema

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Feb 2025
Yanga ilivyotikisa Sengerema

Uongozi wa Yanga ukiongozwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Yanga Makaga umetua Wilaya ya Sengerema kushiriki matukio mbalimbali ya kijamii ikiwa pia sehemu ya hamasa kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Pamba Jiji ambao utapigwa kesho Ijumaa katika uwanja wa CCM Kirumba

Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga Alexander Ngai, kwa niaba ya Rais wa Yanga Injinia Hersi Said, alikabidhi vyerehani kwenye chuo cha Maendeleo ya Wananchi Karumo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’