Wakazi wa mkoa wa Kigoma na maeneo ya jirani kesho Jumapili Februari 23 watawashuhudia mabingwa wa soka Tanzania Bara Yanga wakimenyana na wenyeji wao Mashujaa Fc katika mchezo wa ligi kuu utakaopigwa katika uwanja wa Lake Tanganyika
Mashujaa Fc ambao ni wenyeji wa mchezo huo, walitangaza viingilio jana ambapo VIP ni Tsh 30,000 na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-
Kikosi cha Yanga kilitua Kigoma jana ambapo leo Wananchi watafanya mazoezi yao ya mwisho katika uwanja wa Lake Tanganyika tayari kwa mchezo huo

ADVERTISE HERE