Yanga kuifuata Mashuja Fc leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Feb 2025
Yanga kuifuata Mashuja Fc leo

Kikosi cha Yanga leo kinaelekea mkoani Kigoma tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mashujaa Fc ambao utapigwa Jumapili, Februari 23 katika uwanja wa Lake Tanganyika

Msafara wa Yanga utajumuisha wachezaji 21, benchi la ufundi na baadhi ya viongozi waandamizi wa klabu

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema wanakwenda Kigoma wakiwa na lengo moja, kushinda mchezo dhidi ya Mashujaa Fc na kuendelea kujiimarisha kileleni mwa msimamo wa ligi

Yanga ndio vinara wa ligi kuu ya NBC wakikusanya alama 52 baada ya mechi 20

Ushindi katika mchezo huo utawafanya waongeze gap la pointi kati yao na Simba kuwa tano

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
6h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’