Yanga kuifuata Mashujaa Fc Ijumaa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Feb 2025
Yanga kuifuata Mashujaa Fc Ijumaa

Baada ya ushindi uliopelekea vilio kila kona, Wananchi hawana muda wa kupoteza kwani Ijumaa wanaelekea mkoani Kigoma tayari kwa mchezo mwingine wa ligi kuu

Jumapili, Februari 23 Yanga itashuka dimba la Lake Tanganyika, Kigoma kumenyan na Mashujaa Fc katika mechi ya raundi ya 21

Hizi ni nyakati za lala salama, kila mechi ni kama fainali na kwa aina ya upinzani ambao Yanga wanakutana nao huko nje, ni dhahiri kila mechi itakuwa ngumu sana

Habari njema ni kuwa Yanga imepata angalau siku chache za kufanya maandalizi ya mchezo huo baada ya ratiba ya mechi mfululizo

Meneja wa Habari na Mawwasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema mikakati yao ni kushinda kila mechi, hawana muda wa kusikiliza hayo yanayojadiliwa kila pale wanaposhinda

"Sisi kazi yetu tunaifanya uwanjani, lengo ni kushinda kila mechi, halafu tutawaachia hao wachambuzi wachambue," alisema Kamwe

Baada ya mchezo dhidi ya Mashujaa Fc, Yanga itaelekea Mwanza kuikabili Pamba Jiji mchezo utakaopigwa Februari 28

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’