Ikangalombo bado anaimarisha 'fitness'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Feb 2025
Ikangalombo bado anaimarisha 'fitness'

Maswali yamekuwa mengi kuhusu winga mpya wa Yanga Jonathan Ikangalombo ambaye tangu aliposajiliwa na mabingwa wa nchi, bado hajaonekana uwanjani

Kocha aliyeondoka Sead Ramovic aliwahi kueleza sababu za kutomtumiaa winga huyo raia wa DR Congo ambaye alisajiliwa na Yanga akitokea klabu ya AS Vita

Ramovic alieleza kuwa Ikangalombo hakuwa na 'fitness' ya kumfanya aanze kutumika mara moja hivyo walimpatia program maalum ya kutengeneza utimamu wa mwili

Program hiyo ilimfanya atumie wiki zake za kwanza Gym akifanya mazoezi maalum ya kuimarisha mwili wake

Kabla ya kutua Yanga, Ikangalombo alikaa nje bila ya kucheza mpira kwa takrbani miezi mitatu kwa kile kilichoelezwa alikuwa na mgogoro wa kimkataba na waajiri wake AS Vita

Hata hivyo winga huyo tayari taratibu ameanza kushiriki mazoezi ya kucheza mpira na wenzake na pengine anaweza kuanza kuonekana dimba katika mechi zinazofuata

Leo Yanga itachuana na JKT Tanzania dimba la Isamuhyo huko Mbweni. Ikangalombo huenda akaukosa mchezo huo pia

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
16h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
20h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’