Mzize avunja rekodi yake ya mabao

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Feb 2025
Mzize avunja rekodi yake ya mabao

Mshambuliaji wa Yanga Clement Mzize anaongoza mbio za ufungaji bora ligi kuu ya NBC baada ya leo kufunga mabao mawili katika ushindi wa mabao 6-1 ambao Yanga wameupata dhidi ya Ken Gold

Mzize amefikisha mabao 9 na kumpiku Elvis Rupia wa Singida Black Stars mwenye mabao 8

Akiwa ndio kwanza ametimiza umri wa miaka 21, Mzize amefikisha jumla ya mabao 21 ya Ligi Kuu akivunja rekodi ya mabao 7 aliyofunga msimu uliopita

Katika msimu wa ligi 2022/23 Mzize alipachika mabao 5, takwimu zinaonyesha anakuwa bora msimu hadi msimu

Aidha Prince Dube na Pacome Zouzoua nao wamesogea juu katika mbio za ufungaji bora kila mmoja akifikisha mabao 7

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’