Gamondi aibukia Libya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Jan 2025
Gamondi aibukia Libya

Klabu ya Al Nasr inayoshiriki ligi kuu nchini Libya imemtambulisha Miguel Gamondi kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo mpaka mwisho wa msimu huu huku kukiwa na kipengele cha kuongeza mkataba

Tangu alipopewa mkono wa kwaheri na Yanga mwezi Novemba 2024, Gamondi hakuna timu akirejea kwao Argentina

Yanga ndio klabu iliyompa mafanikio makubwa katika kazi yake ya ukocha ambapo alishinda mataji matatu Ligi Kuu, FA na mapema mwaka huu akashinda Ngao ya Jamii

Katika mashindano ya CAF, Gamondi aliiongoza Yanga kucheza robo fainali ya ligi ya mabingwa msimu uliopita

Hata hivyo vipigo mfululizo katika mechi mbili za ligi kuu msimu huu dhidi ya Tabora United na Azam Fc, vilitosha Yanga kumuonyesha mlango wa kutokea

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’