Tanzania, Uganda kitaumana kundi C AFCON 2025

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Jan 2025
Tanzania, Uganda kitaumana kundi C AFCON 2025

Droo ya michuano ya Afcon 2025 ilifanyika Morocco jana ambapo Tanzania imeangukia kundi C. Katika kundi hilo pia zimo Uganda, Tunisia na Nigeria

Ni timu mbili tu ambazo zitasonga mbele raundi ya 16 bora, Stars itahitaji kupambana kuwa miongoni mwa timu hizo

Soka la Afrika kwa sasa limebadilika sana, neno HAIWEZEKANI halina nafasi

Haya hapa makundi yote;

GROUP A  

  • Morocco
  • Zambia
  • Mali
  • Comoros

GROUP B

  • Misri
  • Afrika Kusini
  • Angola
  • Zimbabwe

GROUP C

  • Nigeria
  • Tunisia
  • Uganda
  • Tanzania

GROUP D

  • Senegal
  • DR Congo
  • Benin
  • Botswana

GROUP E

  • Algeria
  • Burkina Faso
  • Uquatorial Guinea
  • Sudan

GROUP F

  • Ivory Coast
  • Cameroon
  • Gabon 
  • Msumbji

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
8h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
11h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
16h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
20h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’