FT : Yanga 5-0 Copco Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Jan 2025
FT : Yanga 5-0 Copco Fc

Yanga imesonga mbele raundi ya tatu ya kombe la Shirikisho la CRDB baada ya kuichapa Copco Fc mabao 5-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa KMC Complex

Dakika 30 za mwanzo zilionekana kuwapa wakati mgumu Wananchi kuifungua ngome ya Copco iliyokuwa na wachezaji 10 wanaozuia

Hata hivyo alikuwa ni Shekhan Khamis aliyefungua ukurasa wa mabao akifunga bao la kwanza dakika ya 35 akimalizia kona ya Farid Mussa

Kipindi cha pili mambo yalibadilika, Copco Fc hawakuweza kumudu kasi ya Yanga na kujikuta wanaruhusu mabao mengine manne yaliyofungwa na Prince Dube, Duke Abuya, Maxi Nzengeli aliyefunga kupitia mkwaju wa penati na Mudathir Yahya

Kocha Mkuu wa Yanga Sead Ramovic leo alifanya 'rotation' ya kikosi akianza na nyota wengine ambao hawakutumika sana msimu huu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
22m ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
4h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
22h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’