Siku ya pili ya mazoezi Morogoro

Yanga Damu By Yanga Damu
β€’
28 Jul 2017
Siku ya pili ya mazoezi Morogoro
Kikosi cha Yanga leo asubuhi kimeendelea na mazoezi Highlands Park mkoani Morogoro.

Wachezaji wote walioko kambini wanaendelea vizuri huku Daktari wa timu, Dr Bavu akithibitisha kuwa hakuna majeruhi na kambi iko vizuri kabisa.

Aidha wachezaji Donald Ngoma na Thabani Kamusoko waliokuwa wamepewa ruhusa kurejea kwao nchini Zimbabwe kushughulikia mambo binafsi wanatarajiwa kujiunga na wenzao wakati wowote.

Matheo Antony tayari amesafiri kwenda mkoani Morogoro kujiunga na wenzake huku Tshishimbi na (RAPHAEL DAUDi) wanaweza kujiunga na kambi kuanzia Jumatatu ijayo.

Raphael Daudi usajili wake unakamilishwa wikiendi hii.

Kwa mujibu wa taarifa tulizonazo, kiungo huyo ambaye yuko kwenye kikosi cha Stars ameshasaini miaka miwili bado kumalizana mambo flani flani na Mbeya City tu.

Papi Kabamba Tshishimbi yeye alisaini miaka miwili jana Alhamisi.

























ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’