Chama aiwahi Al Hilal

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Jan 2025
Chama aiwahi Al Hilal

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Clatous Chama amerejea kikosini baada ya kupona majeraha yaliyomuweka nje kwa takribani wiki tatu

Chama aliumia kiwiko cha mkono katika mchezo wa raundi ya tatu hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa dhidi ya TP Mazembe uliopigwa Lubumbashi na kumalizika kwa matokeo ya sare ya bao 1-1

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amethibitisha urejeo wa Chama ambaye leo amejifua na wachezaji wenzake dimba la KMC Complex

Hata hivyo Yanga itaendelea kuwakosa Yao Kouassi, Maxi Nzengeli na Aziz Andambwile ambao wamepewa muda zaidi kuimarika

Nyota hao wataukosa mchezo wa marudiano dhidi ya Al Hilal utakaopigwa Jumapili, Januari 12 huko Mauritania

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’