Mzize, Aziz Ki katika kikosi bora cha wiki

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Jan 2025
Mzize, Aziz Ki katika kikosi bora cha wiki

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Stephane Aziz Ki na Clement Mzize wametajwa katika kikosi bora cha wiki raundi ya nne ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika (CAF CL) kwa mujibu wa mtandao wa Africa Soccer Zone

Mzize na Aziz Ki walionyesha kiwango bora katika mchezo dhidi ya TP Mazembe wote wakipachika mabao

Mzize ndiye aliyeirudisha Yanga mchezoni akipachika bao la kusawazisha ambalo linaweza kuingia katika kinyan'ganyiro cha goli bora la wiki kabla ya Aziz Ki kuongeza bao la pili mapema kipindi cha pili na Mzize kuongeza jingine la tatu dakika chache baadae

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’