Mshery ametuliza presha langoni Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Dec 2024
Mshery ametuliza presha langoni Yanga

Baada ya kuaminiwa katika mchezo dhidi ya Tanzania Prisons, mlinda lango Aboutwalib Mshery juzi akapata 'cleansheet' yake ya pili katika mchezo dhidi ya Dodoma Jiji

Mechi hizo mbili zinaweza kuwa zimetosha kulishawishi benchi la ufundi la Yanga kumtumia mbele ya Aboubakar Khomein ambaye makosa aliyofanya katika mchezo dhidi ya Mashujaa Fc yanaweza kuwa yamegharimu nafasi yake

Yanga itaendelea kuwategemea Mshery na khomein wakati huu mlinda lango Djigui Diarra akitibiwa majeraha ya misuli aliyopata katika mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya TP Mazembe

Madaktari wa Yanga wanapambana kuhakikisha Diarra anarejea mapema kwani Yanga inahitaji uzoefu wake katika mechi tatu muhimu za kuhitimisha hatua ya makundi CAF CL

Januari 04 Yanga itachuana na TP Mazembe uwanja wa Benjamin Mkapa kisha kusafiri Mauritania kuifuata Al Hilal kwa ajili ya mchezo mwingine utakaopigwa Januari 12

Yanga itahitimisha mechi ya mwisho nyumbani kwa mchezo dhidi ya MC Alger Januari 18. Mabingwa hao wa Tanzania Bara hawapaswi kupoteza mchezo wowote ili kuwa na nafasi ya kufuzu robo fainali

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10m ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
50m ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
5h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
23h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’