Mawindo ya Dodoma Jiji yanaendelea

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Dec 2024
Mawindo ya Dodoma Jiji yanaendelea

Kikosi cha Yanga kiliwasili mkoani Dodoma mapema leo siku mbili kabla ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Dodoma Jiji utakaopigwa Jumatano, Disemba 25 katika uwanja wa Jamhuri

Jioni Yanga imeendelea na maandalizi yake kuelekea mchezo huo ambao Wananchi wanazihitaji alama zote tatu

Wananchi wa Dodoma watakuwa na sikukuu nzuri ya Christmas ambayo itasindikizwa na burudani kutoka kwa Yanga pale uwanja wa Jamhuri siku ya Jumatano

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’