Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa mshambuliaji wa Yanga, Kennedy Musonda
Baada ya kuanza msimu taratibu, hatimaye Musonda ameanza kurejea katika ubora wake akiaminiwa na kocha Sead Ramovic
Msimu huu amepachika mabao mawili, lakini pia ameonekana mara chache katika kikosi cha Yanga kutokana na changamoto ya majeraha
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa
HAPPY BIRTHDAY MUSONDA...!

ADVERTISE HERE