Prisons wataliweza soka la 'Gemany Machine'?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Dec 2024
Prisons wataliweza soka la 'Gemany Machine'?

Jioni ya leo Yanga itakuwa dimba la KMC Complex kuikabili Tanzania Prisons katika mchezo wa ligi kuu ya NBC

Mechi nyingine muhimu kwa Kocha Sead Ramovic ambaye anaendelea kukiimarisha kikosi chake

Ramovic anasaka ushindi wa tatu mfululizo kwenye ligi matokeo ambayo yataendelea kurejesha ari na morali ya timu

Mkakati wa Mjerumani huyo ni kuhakikisha ushindi unapatikana katika mechi zote tatu zilizobaki kuhitimisha duru ya kwanza NBC PL kabla ya kuikabili TP Mazembe Januari 03 2025 katika mchezo wa ligi ya mabingwa

Mpaka sasa Ramovic hana lawama kwenye ligi kuu, matarajio ya Wananchi ni kuona leo anaendeleza matokeo ya ushindi

Ramovic ni kama amekuja na tiba ya timu 'zinazopaki basi' kwani alipata ushindi dhidi ya Namungo iliyozuia kwa idadi kubwa ya wachezaji na akafanya hivyo tena dhidi ya timu ngumu ya Mashujaa Fc ambayo kabla ya kipigo cha Yanga ilikuwa haijapoteza mchezo katika mechi tano

Ni wazi Tanzania Prisons leo watahitaji kuwa bora sana kupata chochote mbele ya Yanga inayo onekana kurudi katika utamaduni wake wa soka la kasi huku Mjerumani huyo akiendelea kuingiza mbinu zake

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’