Mtoto wa nyoka ni nyoka, Mbeya City wamekaa kwa Yanga B

Yanga Damu By Yanga Damu
β€’
28 Jul 2017
Mtoto wa nyoka ni nyoka, Mbeya City wamekaa kwa Yanga B
Kikosi cha pili cha Yanga maarufu kama Yanga B leo kilikuwa mkoani Mbeya kucheza na wenyeji Mbeya City katika mchezo maalumu wa kirafiki.

Vijana hao wa Yanga wenye umri chini ya miaka 20 wameibuka na ushindi wa mabao 3-0.

Licha ya uchovu wa safari kwani waliondoka jijini Dar jana jioni, lakini bado wameweza kuwapeleka puta wenyeji wao.

Hongera kwa kocha Shedrack Nsajigwa na vijana wake kwa kututoa kimasomaso huko Mbeya
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
15h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
20h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’