Kikosi cha Yanga jana usiku kilitua Dubai ambapo msafara ulipata mapumziko ambapo leo kikosi kitaunganisha ndege nyingine kuelekea moja kwa moja Algeria
Mabingwa hao wa Tanzania Bara wanatarajiwa kutua Algiers baadae leo







ADVERTISE HERE