Kituo kinachofuata ni Namungo Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Nov 2024
Kituo kinachofuata ni Namungo Fc

Kikosi cha Yanga kimeondoka jijini Dar es salaam kuelekea mkoani Lindi kupitia Mtwara tayari kwa mchezo wa ligi kuu unaofuata dhidi ya Namungo Fc

Jumamosi, Novemba 30 Yanga itashuka uwanja wa Majaliwa, Ruangwa huko Lindi kumenyana na wenyeji wao Namungo Fc, mchezo utakaopigwa saa 12 jioni

Mechi muhimu kwa Yanga kuzisaka alama tatu ili kurejesha ari ya ushindi ya timu kabla ya safari ya Algeria

Disemba 07 Yanga inakabiliwa na mechi ya pili ya ligi ya mabingwa dhidi ya MC Alger

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’