Tutarejea kwenye ubora wetu - Pacome

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Nov 2024
Tutarejea kwenye ubora wetu - Pacome

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Pacome Zouzoua amewahakikishia mashabiki na wanachama kuwa kipindi hiki kigumu kitapita na watarejea katika ubora wao

Jana Yanga ilianza vibaya hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa ikikubali kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Al Hilal kwenye mchezo ulopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Pacome amesema msimu bado ni mrefu, vipigo mfululizo vimewapa somo na sasa watapambana kuhakikisha wanarejea katika ari ya ushindi

"Klabu inapita katika nyakati ngumu kwa kushindwa mfululizo, lakini niwahakikishie kuwa msimu ni mrefu sana na lazima tujifunze kutokana na vipigo vyetu na tutarejea tukiwa imara

"Si rahisi kwa mashabiki wetu kuvumilia mfululizo wa matokeo haya, hili tunalifahamu kwa sababu hatujazoea hali hii, lakini nawaahidi kuwa tutapambana kwelikweli"

"Tutapambana kama msimu uliopita ili kurudisha heshima ya klabu bora nchini. Tutarejea imara katika mechi zijazo, niamini. Tunashindwa pamoja na tunashinda pamoja," aliandika Pacome katika ukurasa wake wa mtandao wa kijami

Mchezo unaofuata kwa Yanga ni ligi kuu dhidi ya Namungo Fc ambao utapgwa Jumamosi, Novemba 30 katika uwanja wa Majaliwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’